HUYU NDIYE MWANAMKE MWENYE MIGUU MIREFU KULIKO WOTE DUNIANI...

mwanamke mwenye miguu mirefu duniani
Kitabu cha rekodi cha Guinness World Records kinasema mwanamke kutoka Urusi aliyeshikilia rekodi ya kuwa na miguu mirefu zaidi bado anashikilia record hii. mwanamke mwenye miguu mirefu duniani
Svetlana Pankratova anamigu yenye sentimita 132. Aliweka rekodi hii 8 July 2003.
mwanamke mwenye miguu mirefu duniani

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post