HII NDIO KAULI YA KWANZA KUTOKA KWA DIAMOND PLATNUMZ BAADA YA KUJIZOLEA TUZO 7 ZA KTMA 2014

Msanii wa Kizazi Kipya Diamond Platnumz ameweza Kufunguka baada ya Kuibuka Mshindi wa Tuzo 7 kutoka katika Tuzo za KTMA 2014, Na hiki Ndicho alichoKisema.

"Hakika ilikuwa ni kazi ngumu sana lakini kwa uwezo wa mwenyez mungu ametufanyia wepesi na hatimaye kufanikisha... Nawashkuru sanasana Mashabiki zangu wote kwakuwa nyie ndio mlionipa tuzo hizi kupitia kura zenu... Family, uongozi wangu.. bila kuvisahau vyombo vyote vya habari vilivyo fanya kazi zangu zisikike kila kona... Niwashkuru pia wasanii wenzangu, kwakuwa naamini wote walifanya kazi nzuri na ndiomaana wote tukawa pale ila kwakuwa mshindi ni mmoja, ikatokea kuwa bahati yangu...Ahsanteni sana, cha mwisho nnachoweza kusema tu ni kwamba (Tika! Tika!) yaani (Saba saba) Nomination 7 Tunzo 7...! tuhamieni MTV Awards tuilete Heshima nyumbani sasa"

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post