HATIMAE WALIOKAMATWA KWA KUREKODI WIMBO WA "HAPPY" NCHINI IRAN WAACHILIWA HURU

Pharell Williams
Kikundi cha mashabiki wa muziki nchini Iran walioiga wimbo maarufu wa mwanamuziki maarufu wa Marekani Pharrell Williams, 'Happy' walijikuta matatani baada ya kukamatwa na polisi.
Iranian Happy people
Kanda ya video waliyoirekodi wakiiga wimbo huo, inaonyesha vijana watatu na wanawake kadhaa ambao hawakuwa wamejitanda mitandoa, wakicheza densi kwenye barabara za nchi hiyo na kwenye paa za nyumba mjini Tehran.

Mkuu wa Polisi, Hossein Sajedinia, alisema kuwa kanda ya video inayoonyesha vijana hao wakicheza, imekiuka maadili ya jamii.

Watu 6 wameachiwa Huru leo isipokuwa Directa wa Video hiyo, hii Baada ya Rais Hassan Rouhani Ku tweet Hivi kwenye acount yake ya tweetter::



Video hiyo hadi sasa Imetazamwa na watu zaidi ya laki 6 kwenye Mtandao wa Youtube. Kama nawe bado Hujaiona waweza Bofya kitufe cha Play Hapo Chini::

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post