BREAKING NEWS: PICHAZ...BUS LA DAR EXPRESS LAPATA AJALI HUKO WAMI.....

AJALI NA DAR EXPRESS
Ajali imetokea mida ya saa nne karibu na wami kutokea dar es salaam.. gari ni kampuni ya dar express iliyokua ikielekea nairobi..
AJALI NA DAR EXPRESS
Abiria wengi wamenusurika kutoka ila kuna majeruhi wachache ambao haijalikana bado kama kuna aliyekufa...

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post