Afya ya mtu yeyote inategemea sana namna anavyokula anavyoishi na kujiweka katika mazingira yanayomzunguka ili kujikinga na maradhi "Wataalamu wa afya wa jamii wanasema kuwa takribani asilimia 53 ya magonjwa ya binadamu husababishwa na mtindo wa maisha usiofaa kwa mfano ulafi, ulevi, kubweteka bila kufanya kazi ngumu, kutofanya mazoezi pamoja na ngono zembe"
Wanasema matibabu mengine hayaitaji tiba za dawa kali au kuchomwa sindano, mtindo wako wa maisha waweza kuwa bora kabisa, unaambiwa kupumzika kula mlo kamili na kupima afya vyaweza kuwa tiba. Daktari mmoja aliwahi kusema "Mbogamboga na matunda ni dawa nzuri zaidi kuliko dawa za Hospitali".
Home
»
AFYA
» AFYA:: MIENENDO YA KIMAISHA YA WATU NDIO SABABU YA MATATIZO KWAO, SOMA HAPA UJUE MAANA YA USEMI HUU
About Author
JE, UNA HABARI, PICHA, TANGAZO, MAKALA NA USHAURI? USISITE KUWASILIANA NASI SIMU / WHATSAPP NAMBA 0625535420.
Advertisement
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.