Unknown Unknown Author
Title: WASANII BONGO MOVIE WAMNANGA JACKLINE WOLPER UKUMBINI MMH NI MANENO MAZITO ANGALIA HAPA WALICHOMWAMBIA..!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
XDEEJAYZ: Msaanii Jackline Wolper akionekana na kibiyongo chake ukumbini. Na Sakina Shabani Katika hali isiyokuwa ya kawaida wasanii bongo ...

clip_image001XDEEJAYZ: Msaanii Jackline Wolper akionekana na kibiyongo chake ukumbini.

Na Sakina Shabani
Katika hali isiyokuwa ya kawaida wasanii bongo movie mwishoni mwa juma kwenye pati ya kundi hilo walitumia muda mwingi kumnanga msanii mwenzao Jackline Wolper eti anakisogo kama katuni Madenge.
Xdeejayz ambayo ilikuwepo ukumbini ilishuhudia wasanii wakimsema mwenzao kama hivi:

clip_image001[7]XDEEJAYZ: Msaanii Jackline Wolper akionekana na kibiyongo chake ukumbini.
“Huyu nae kujishaua kwanza bichwa kama madenge angalia kichogo chake kule" Alisema mmoja wa wasanii wakubwa tu

>>XDEEJAYZ TANZANIA

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top