Unknown Unknown Author
Title: DIAMOND PLATNUMZ NDANI YA WIMBO MMOJA NA IYANYA WA NIGERIA, VIDEO KUFANYIKA NCHINI UINGEREZA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Juzi kuamkia Jana katika studio za Iyanya zilizopo nyumbani kwake Lagos,  Diamond alifanikiwa kumalizia single yake aliyomshirikisha Iyanya....

clip_image001Juzi kuamkia Jana katika studio za Iyanya zilizopo nyumbani kwake Lagos,  Diamond alifanikiwa kumalizia single yake aliyomshirikisha Iyanya. katika video hii fupi, inamuonyesha diamond akiwa ndani ya studio hizo, huku Iyanya akiimba kwa ku-Freestyle kwa lugha ya kiswahili. "Nimemalizia kufanya ngoma na Iyanya, na kwasababu yeye amesafiri jana kuelekea nchi Uingereza, basi akirudi ntapanga nae siku ya ku-record video na akili yangu yote inanituma kuifanyia nchini uingereza. nina plan kubwa sana na video ya wimbo huo." amesema Diamond

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top