Muda mchache baada ya klabu ya Manchester United kuthibitisha kumtimua kazi kocha David Moyes, shirika la utangazaji wa Uingereza BBC limetangaza kwamba makocha wasaidizi wa Moyes, Steve Round na Jimmy Lumsden nao wameondolewa kwenye vibarua vyao.
Wakati huo huo imethibitishwa kwamba Ryan Giggs na Nicky Butt wataiongoza timu hiyo katika michezo minne iliyobakia.
Hata hivyo mpaka sasa majina ya kocha Uholanzi Louis Van Gaal, wa Borussia Dortmund Jurgen Klopp, Atletico Madrid’s manager Diego Simeone na Ryan Giggs wanatajwa kuewa nafasi ya kuifundisha timu hiyo kuanzia msimu ujao.
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.