Unknown Unknown Author
Title: UBONGE NYANYA WA FAT JOE KWISHA HABARI. HUU NDIO MUONEKANO WAKE HIVI SASA. CHEKI PICHA.
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Rapa mpuerto rico, Fat Joe amewashitua watu wengi kwa muonekano mpya aliokuwa nao hivi sasa baada ya kukaa  nyuma ya nondozz ‘jela’   miez...

Rapa mpuerto rico, Fat Joe amewashitua watu wengi kwa muonekano mpya aliokuwa nao hivi sasa baada ya kukaa  nyuma ya nondozz ‘jela’  miezi minne kwa kosa la kukwepa kulipa kodi. Mkali huyo wa ngoma ya ‘Ballin’ amepungua paundi 200 ambazo ni sawa na kilo 90 na kumfanya aonekana tofauti na alivyokuwa hapo awali.

fat joeFat Joe kabla na baada ya kupungua.

Hata hivyoJoe amemtupia lawama zote msimamizi wake wa masuala  ya fedha kwa kuzembea kulipa kodi kwa muda uliotakiwa na kumlaumu kutoa taarifa kwa polisi ambao walimsweka ndani kwa muda wa  miezi 4.

fat joe.2Mh! Kweli jela shule, miezi minne kapoteza kilo 90 bila kupenda, je angekaa mwaka mzima??? i think tungemsahau  kabisa

Kwa sasa Fat Joe amejipanga kuja na kipindi cha televisheni kitakachokuwa kikirushwa hewani na kituo cha utangazaji cha ABC hivi karibu. Swali, Je rapa huyo atabadili jina lake kwa kutoa jina la Fat ambalo alilipata kutokana na unene wa kupindukia aliokuwa nao? Wacha muvi iendelee.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top