RIHANNA AJIUNGA NA MAMILIONI YA WATU DUNIANI KUSHEREHEKEA SIKU MAALUM YA BANGI, MCHEKI HAPA


Rihanna hajawahi kuficha mapenzi yake kwa mmea wa bangi na hivyo halikuwa jambo gumu kujiunga na mamilioni ya wavutaji wengine duniani kwenye siku maalum ya bangi April 20. Siku hiyo kila mwaka imetengwa na wavutaji wa bangi kuonesha mapenzi yao kwa mmea huo.
Tazama baadhi ya picha za Rihanna akiutukuza mjani kwa njia mbalimbali.



Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post