NIJUZE NIJUZE Author
Title: REAL MADRID BINGWA KOMBE LA MFALME, WAIFUNGA BARCELONA 2-1. BALE AKIIPA UBINGWA WA KWANZA REAL
Author: NIJUZE
Rating 5 of 5 Des:
Gareth Bale Ameifungia Real Madrid goli la ushindi na kufanikiwa kutwaa taji la kwanza akiwa nchini spain na timu hiyo kwa kuifunga Barce...
Gareth Bale Ameifungia Real Madrid goli la ushindi na kufanikiwa kutwaa taji la kwanza akiwa nchini spain na timu hiyo kwa kuifunga Barcelona 2 - 1 katika kombe la mfalme lijulikanalo kama "Copa del Rey" ikiwa leo ni Fainali ya Kombe hilo. 
Roar of delight: Gareth Bale celebrates after scoring a late winner for Real Madrid in the Copa del Rey final
Bale akiongoza ushindi katika mechi hiyo kwa kufunga goli katika Dakika 5 za Mwishoni huku akianza kukimbia na mpira kuanzia kwenye nusu ya uwanja na kuweza kumpita beki Marc Bartra upande wa kushoto japo alimsukuma lakini aliweza kung'ang'ana na kuweza kufika langoni na kuuweka mpira huo wavuni huku Golkipa wa Barcelona Pinto akishindwa kuokoa Mpira huo langoni Mwake. Hii ni Juhudi Binafsi alioionyesha mchezaji huyu katika Goli hili laushindi.

No stopping: Di Maria scores the opening goal after 10 minutes as Jordi Alba fails to intercept
Di maria ndio aliefungua karamu ya Magoli katika fainali hiyo kwa kupiga shuti kali lililomshinda mlinda mlango wa Barcelona Pinto na Kujaa wavuni.No stopping: Di Maria scores the opening goal after 10 minutes as Jordi Alba fails to intercept

Rising high: Barcelona defender Marc Bartra guides his header into the net for the equaliser
Beki wa Barcelona Marc Bartra akiifungia timu yake Goli la kusawazisha kwa kichwa ambapo alipokea mpira huo uliokuwa wa kona na kumshinda golikipa Icker Casilas.Get in: Bartra celebrates after pulling Barcelona level with Real Madrid in the 68th minute

Campeones: Real Madrid supporters celebrate as their team wins the Copa del Rey at the Mestalla stadium
Mashabiki wa Real Madrid wakishangilia mara Baada ya Timu yao kuibuka Bingwa wa Kombe la Mfalme "Copa Del Rey" usiku wa Jumatano

Kikosi Cha Barcelona: Pinto, Bartra (Alexis 86), Alba (Adriano 46), Alves, Fabregas (Pedro 60), Xavi, Iniesta, Mascherano, Busquets, Messi, Neymar
Subs not used: Oier, Puyol, Song, Roberto
Goal: Bartra 68
Bookings: Neymar, Mascherano

Kikosi Cha Real Madrid: Casillas, Pepe, Ramos, Coentrao, Carvajal, Bale, Alonso, Modric, Di Maria (Illarramendi 86), Isco (Casemiro 88), Benzema (Varane 90)
Subs not used: Diego Lopez, Fernandez, Morata, Jose
Goals: Di Maria 11, Bale 85
Bookings: Pepe, Isco, Alonso

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top