PENNY SASA KAVURUGWA....!!! ATUPIA PICHA MTANDAONI AKIONESHA MAUNGO YAKE YA NDANI..CHUNGULIA HAPA

Baada ya kuwa kimya katika akaunti yake ya instagram, Penny ambaye ni mtangazaji wa kituo cha DTV kilichopo Dar, amerudi kwa kasi katika mtandao huo baada ya kuachia picha yenye mitego ikionesha kitovu chake, Sasa sijui ndio kutaka Tension kwa Watu au ndio nini Hii. Tazama hapo chini picha hiyo.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post