Unknown Unknown Author
Title: NISHA, BWANA MPYA NA GARI JIPYA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Mwaka huu umekuwa wa mafanikio kwa msanii wa filamu za Kibongo, Salma Jabu ‘ Nisha ’ kutokana na kuvuta ndinga mpya na huku akidaiwa kutoka ...

Mwaka huu umekuwa wa mafanikio kwa msanii wa filamu za Kibongo, Salma Jabu ‘ Nisha ’ kutokana na kuvuta ndinga mpya na huku akidaiwa kutoka na mwanaume mpya.

NISHAMsanii wa filamu za Kibongo, Salma Jabu ‘Nisha’.

Kikizungumza na Ijumaa, chanzo ambacho ni jarani wa msanii huyo kilisema licha ya Nisha kuendesha mkoko huo aina ya Toyota Harrier, sasa anatoka na mwanaume mwingine ambaye mara kadhaa wamekuwa wakimbonji pamoja.

“Sasa ana mwanaume mwingine, huenda ndiye aliyemnunulia lile gari analoendesha,” alidai jirahi huyo wa Nisha.

Nisha alipotafutwa kuzungumzia hilo alisema, ni kweli ana gari lingine ila kuhusu mwanaume anayetembea naye kwa sasa ni siri yake ila atamuanika siku si nyingi kwa kuwa wana mipango mikubwa baadaye.

>>GPL

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top