Unknown Unknown Author
Title: NEWS ALERT: MUHIDIN MAALIM GURUMO AFARIKI DUNIA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
MAALIM MUHIDIN GURUMO ENZI ZA UHAI WAKE. NGULI WA MUZIKI WA DANSI HAPA NCHINI NA ALIEKUWA KIONGOZI WA BENDI YA MSONDO NGOMA, MAAL...
MAALIM MUHIDIN GURUMO ENZI ZA UHAI WAKE.



NGULI WA MUZIKI WA DANSI HAPA NCHINI NA ALIEKUWA KIONGOZI WA BENDI YA MSONDO NGOMA, MAALIM MUHIDIN GURUMO AMEFARIKI DUNIA MCHANA WA LEO KATIKA HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI ALIKOKUWA AMELAZWA KWA MATIBABU.

MAALIM GURUMO AMEFIKWA NA MAUTI HAYO BAADA YA KUSUMBULIWA NA MARADHI KWA KIPINDI KIREFU, HALI ILIYOMPELEKEA KUAMUA KUSTAAFU MUZIKI.

MSIBA UPO NYUMBANI KWA MAREHEMU TABATA MAKUBURI NA MIPANGO YOTE ITAFANYIKA HAPO.

GLOBU YA JAMII KWA MASIKITIKO MAKUBWA, INATOA POLE KWA WAFIWA WOTE PAMOJA NA WAPENZI WOTE WA BENDI YA MSONDO NGOMA MAHALA POPOTE PALE WALIPO.

TUNAMUOMBEA KWA MWENYEZI MUNGU AIWEKE ROHO YA MAREHEMU MAALIM GURUMO MAHALA PEMA.

- AMIN.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top