Upepo mkali uliangusha baadhi ya Miti.
Hali ya maji katika bonde la msimbazi, serikali imeiifunga barabara ya Morogoro kutoka magomeni hadi Faya, kutokana na maji kuvuka kima cha Daraja la Jangwani.
Kufuatia mvua kubwa zinazonyesha jijini Dar, Daraja la Boko lililopo Barabara ya Bagamoyo limebomoka na kufunga mawasiliano!
Mkazi wa Bonde la Mpunga - msasani, Dar es Salaam akiangalia hali ya mafuriko na baadhi ya vitu vyake alivyofanikiwa kuviokoa. Hii ni baada ya mvua kubwa inayoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam



Tags
HABARI ZA KITAIFA