MFAHAMU MSANII WA BONGO MOVIES ALIYEBEBA MIMBA NA KUJIFUNGUA KIMYA KIMYA BILA HATA MASHABIKI KUFAHAMU LOLOTE..!!

Msanii huyu wa bongomovie amekua kimya kwa muda mrefu hasa kutokana na tabia yake ya kupenda sana kutumia mtandao wa facebook lakini hadi huko alikuwa kimya pia. 
Leo kupitia page yake ya facebook amerudi na kutoa taarifa kwa mashabiki wake kwamba amejifungua mtoto wa kiume na shukrani zake anazipereka kwa mungu na mashabiki zake.Msanii mwenyewe ni Odama ambaye mmoja ya wasanii wachache wa kike wenye kampuni zinazotengeneza movie zake mara nyingi.Hongera zake na huyo baba wa mtoto.
>>SWAHILITZ

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post