JACKLINE WOLPER AUMBUKA BAADA YA KUANDIKA KINGEREZA BUTU MTANDAONI, WEMA ASHISHIWA KASHFA

Jackline Wolper siku ya jana katika siku ya muungano aliandika kizungu kutakia muungano wa furaha lakini badala yake alipata doa la shombo za kejeli kutoka kwa mashabiki wake baada ya kuchapia kizungu,
Hapo chini ni Moja ya Comment iliyopokwenye posti hiyo Chakushangaza ni Kutolewa kwa Maneno ya Kashfa kwa Madam Wema Sepetu, Je yeye anahusikaje katika Post hiyo? hadi maneno haya yatolewe Dhidi yake hakika Wadau inabidi kuwa waangalifu na nini na wapi tunachangia nini na Kwa wakati gani. Huu si Uungwana hata Kidogo kutoa Maneno kama haya tena kwa Mtu ambaye hajahusika hata chembe katika Conversation hiyo. 

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post