Unknown Unknown Author
Title: HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA KATIKA MAANDAMANO YA MADEREVA BODABODA MKOANI MTWARA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Madereva boda boda Mkoani Mtwara waliandamana hapo juzi kupinga kwa kile walichokiita uonevu dhidi ya askari wa Barabarani Mkoani humo cha k...
boda boda mtMadereva boda boda Mkoani Mtwara waliandamana hapo juzi kupinga kwa kile walichokiita uonevu dhidi ya askari wa Barabarani Mkoani humo cha kuwakamata na Kuwapiga kwanza madereva kabla ya kuwapeleka Kituoni wakiwa na Kosa la kutovaa Helmenti Mbili yaani Ya dereva na Mteja wake.
Maandamano hayo yaliyokuwa hayana Baraka zozote na Jeshi la Polisi yalisababisha Shughuli za Kijamii kusimama kwa muda kutokana na Ukiukwaji huo wa sheria za maandamano Kwani Polisi walilazimika Kutumia mabomu ya Machozi kuwasambaza waanadamani hao.boda boda mt.2Akizungumza na Mwandishi wa Blog hii kamanda mkuu wa Polisi alipoulizwa kuhusu sakata hili mkuu huyo alisema Nimapema sana kuzungumzia suala hilo kwani Bado wanafanya uchunguzi wa tukio hilo, wakikamilisha watatoa taarifa rasmi ya chanzo cha vurugu hizo.
“Kwa sasa mapema sana kuzungumzia ilo ngojea hali itulie na tujue nin hasa chanzo cha hiz fujo” alisema kamanda Zolote Steven

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top