Kibongo bongo tumezoea mtu anapotaka kufunga ndoa lazima ipitishwe michango ya kutosha ili kuweza kufanikisha sherehe, na pia mchango wako ndio huwa kiingilio chako yaani bila kuchanga hupati mwaliko.
Hizi ni zawadi za iPhone 5 walizopewa wageni waalikwa
Mambo yamekuwa kinyume katika harusi ya mtoto wa kike wa Rais Goodluck Jonathan wa Nigeria aitwaye Faith, ambaye katika harusi yake iliyofanyika jana (April 12) wageni walioalikwa wamefanyiwa surprise kwa kupewa zawadi ya simu za iPhone 5 ‘gold plated customized’, zilizoandikwa majina ya maharusi hao Faith na Godswill.
>>Naija Gists
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.