HAYA KWELI NI MAJANGAA...!!! CHEKI VIDEO HAPA YA VIUNO VYA SNURA NDANI YA PARIS CLUB - LINDI

Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya pia ni Muigizazi wa Filam Hapa Bongo Snura Mushi mamaa wa Majanga Hit maker wa Nimevurugwa Jana Katika Mkesha wa Pasaka aliweza kuwapa Burudani wakazi wa Manispaa ya Lindi.
Snura akiwa na Crew yake waliweza kuwapatia burudani wapenzi wa muziki huo katika Kiota cha Burudani PARIS CLUB kwa kufanya show yanguvu...Hii ikiwa ni Maraya Pili kwa mwanadada huyo Kufanya show ndani ya Mjengo huo.
Unaweza Kutazama Video hapa Kuona Majanga Live ya Snura::

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post