Unknown Unknown Author
Title: HATIMAE ASHA BARAKA AFUNGA NDOA, CHEKI PICHA HAPA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Mkurugenzi Mkuu wa Twanga Pepeta, Asha Baraka jana usiku alifunga ndoa rasmi na Bwana Rastaman Idd Baka mfanya biashara maarufu huko Magom...

Mkurugenzi Mkuu wa Twanga Pepeta, Asha Baraka jana usiku alifunga ndoa rasmi na Bwana Rastaman Idd Baka mfanya biashara maarufu huko Magomeni, mleta picha hizi amesema haikuwa rahisi kuzichukua picha hizi kutokana na amri aliyoitoa Mkurugenzi huyo ya kukataza picha ya aina yoyote kuchukuliwa ndani ya harusi hiyo,

Habari zaidi zinakuja stay tuned!!

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top