HALI INATISHA TZ: MTU MMOJA AMEUAWA MAENEO YA MBEZI SALASALA...!

Mtu mmoja ameuawa maeneo ya Mbezi Salasala,kwa mujibu wa shuhuda alisema kuwa mtu huyo alikuwa anaomba msaada majira ya saa kumi alfajiri, ambapo kuna watu walikuwa wakimpiga kwa kumkatakata mapanga na kutaka kumchoma moto,haijajulikana kama alikuwa mwizi au kauawa na vibaka.

>>Clauds Fm.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post