
Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere akichanganya udongo wa Tanganyika na Zanzibar kama ishara rasmi ya kuunganisha nchi hizo mbili miaka 50 iliyopita.
Waasisi wa Muungano, Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere (kushoto) na Hayati Abeid Aman Karume.
Globu ya Jamiii imnaungana na Watanzania duniani kote kusherehekea siku hii adhimu kwa kuwatakia
HAPPY MUUNGANO DAY
Tags
HABARI ZA WASANII