
Diamond Platnumz Kupitia ukurasa wake wa Facebook Muda Mchache ameweza Kuwashukuru wote waliofanikisha kumpandisha kutoka Namba 3 Hadi namba 2 Kwa Wiki hii na Ametumia fulsa hiyo kukuomba Kuendelea Kumpigia Kura mara nyingi uwezavyo ili aweze kushika namba Moja kwenye KORA TOP 20.
Jinsi ya Kumpigia Kura:
Post by Diamond Platnumz.
Tags
HABARI ZA WASANII