ANGALIA VITUKO VYA WALIMWENGU MARA BAADA YA MOYES KUFUKUZWA

Mwezi February kuna picha ya shabiki mmoja wa soka anayeishabikia Manchester United ilisambaa sana ikimuonyesha kajichora tatoo ya “MoyesOut” kwamba hataki kabisa David Moyes aendelee kuwa meneja wa timu anayoishabikia.
Sasa baada ya David Moyes kufukuzwa shabiki huyu ameamua kuiongezea maandishi tatoo hiyo kuonyesha alivyofurahishwa na kufukuzwa kwake ambapo maneno hayo yanamaanisha ‘kazi imekamilika’

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post