TUMALIZE UTATA, UNAUKUBALI WIMBO UPI KATI YA HIZI NYIMBO 2 ZA M-RAP. WA AM RECORDS AU WA B-HITS???? SIKILIZA HAPA

clip_image002Moja kati ya habari zilizomake Headline wiki iliyoisha kwa upande wa habari za burudani ni kumhusu msanii M-Rap kuondolewa katika Label ya B-Hits. Baada tu ya kusambaa kwa habari kuhusu kuondolewa kwa M-Rap kutoka B Hits, M-Rap alitambulisha ngoma yake mpya aliyomshirikisha Jux ngoma inaitwa Usiende mbali. Kama hukupata nafasi ya kuidownload idownload >>>hapa<<<
Pia siku ya leo B Hits wametambulisha wimbo mpya kutoka kwa M-Rap (aliyekua chini ya label yao ) Wimbo unaitwa Nishike humo ndani wamehusika M-Rap na Rasheed. Producer ni Pancho Latino na Hermy B. kwa wale mnaotaka kuudownload mtaupata >>>hapa <<<

Sasa Team nzima ya Bongoclan ikakaa chini na kuamua kuwauliza mashabiki kati ya nyimbo hizo 2 ipi ni kali zaidi. tuanze na ya kwanza kabisa M-rap ft Jux - Usiende mbali hii hapa chini

kisha tumalizie na hii M-Rap ft Rasheed- Nishike kisha tujuze umeukbali wimbo upi kati ya hizo 2???

SOURCE: BONGOCLANTZ

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post