PICHA YA ELIZABETH MICHAEL “LULU” KATIKA GAZETI LA VIBE TOLEO LIJALO,,MMMMMHHH NI HATARI KUONWA NA WATOTO

clip_image001Baada ya Jokate Mwengelo , Diamond Platnumz, Wema Sepetu na Mr.Blue kutokea kwenye ukurasa wa mbele wa vibe tz magazine sasa ni wakati wa elizabeth michael “lulu”. Lulu ameamua kufunguka kuhusu mambo mengi yanayoendele katika maisha yake na unachotakiwa kufanya ni kusubiri visiku vichache kabla vibe magazine halijadondoka mtaani kwako.

CREDIT TO VIBE.CO.TZ

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post