OMMY DIMPOZ KUJA NA KICHUPA KIKALI BALAA, CHEKI HAPA

clip_image001Huyu hapa chini ndio Director mwenyewe anaitwa Moe Musa Mwingereza mwenye asili ya Nigeria ambae unaambiwa gharama ya video anazozifanya ni kuanzia dola za kimarekani elfu 20 na kuendelea, kwa haraka haraka ni zaidi ya milioni 30.clip_image001[6]Ommy Dimpoz amerudi Tanzania March 10 2014 saa tano usiku ambapo tovuti ya Millard Ayo iliweza kumnasa baada ya kushuka.clip_image001[8]Amethibitisha ni kweli amefanya video yake mpya London ambapo aliehusika kama Director ni mshkaji ambae amefanya video kadhaa za wakubwa wa Afrika kama Azonto ya FUSE ODG, video za caro ya Wizkid na Davido ‘skelewu’clip_image001[10]Hizi zinazofata hapa chini ni baadhi ya pichaz tu za utengenezwaji wa video hii mpya ya Ommy Dimpoz huko London.clip_image001[12]

clip_image001[14]

clip_image001[16]

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post