NISHER KUMTOA TENA SHISHI BABY NA “CHUNA BUZI” MARCH 24

clip_image001Ikiwa ni takribani wiki mbili toka tushuhudie video ya pili kwa mwaka huu (2014) kutoka kwa director Nisher wa Arusha, ya wimbo wa msanii mpya Barakah Da Prince, Usiku wa Jumapili kuamkia Jumatatu (March 24) tutarajie video nyingine mpya ya wimbo wa Shilole ‘Chuna Buzi’.clip_image001[6]Chuna Buzi itakuwa ni video ya pili ya Shishi baby kufanya na director Nisher baada ya Nakomaa na Jiji.clip_image001[8]Kama ilivyo kawaida ya Nisher wiki hii amekuwa aki tease vipande vya video pamoja na picha za video hiyo ambayo ilifanyika jijini Dar es salaam.clip_image001[10]Cheki video Yenyewe Hapa

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post