MUONEKANO WA HALLE BERRY WASHANGAZA UMMA, HUWEZI AMIN ANA MIAKA 47

clip_image001Star wa filamu Halle Berry mwenye miaka 47 Kwa mara ya kwanza alionekana January 29, 2014 baada ya kujifungua mtoto wake wa pili na ameshangaza watu jinsi alivyo badilika.

Halle alionekana kwenye tamasha la filamu la Acapulco Film Festival huko Mexico na mwili na sura yake vikateka macho ya watu.clip_image001Halle na mchumba wake Olivier Martinez  wamebarikiwa kuwa na mtoto wa kiume waliomuita Maceo mwezi wa kumi mwaka jana.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post