Unknown Unknown Author
Title: MJADALA:: HIVI WANAUME WAREFU NA WEUSI WANA NINI CHA ZIADA KWENYE MAPENZI?WASICHANA WENGI HUVUTIWA NA WANAUME HAWA.
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Swali langu kwa wadada na wataalam wengine wa mambo ya mahusiano,wanaume warefu,weusi wana nini cha ziada tofauti na wanaume wengine? Nimepa...

clip_image002Swali langu kwa wadada na wataalam wengine wa mambo ya mahusiano,wanaume warefu,weusi wana nini cha ziada tofauti na wanaume wengine? Nimepata kuwauliza wadada wengi,ambao nimekutana nao maeneo tofauti wangependa waolewe au wawe na mahusiano na wanaume wa aina gani,wengi na karibu sehem kubwa hujibu kua wanapenda wanaume warefu ,weusi.

Mi naomba kujua wanaume warefu, weusi wana nini cha ziada hadi wapendelewe hivyo? Karibuni sana.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top