Unknown Unknown Author
Title: DIAMOND PLATNUMZ AANZA KUPIGA INTERVIEW NA RADIO ZA NIGERIA, MCHEKI HAPA KATIKA MOJA YA RADIO KUBWA NCHINI HUMO
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Diamond Platnumz yupo Nchini Nigeria kwa ajili ya Kufanya Video ya Wimbo wake Mpya ambao Hadi sasa bado haujajulikana ni Wimbo upi kati ya ...

DIAMOND LAGOSDiamond Platnumz yupo Nchini Nigeria kwa ajili ya Kufanya Video ya Wimbo wake Mpya ambao Hadi sasa bado haujajulikana ni Wimbo upi kati ya Nyimbo zake ambazo amesha zirekodi tayari. Muda Mfupi kupitia Ukurasa wake wa facebook Msanii huyo wa Bongo fleva amepost picha ambayo inamuonesha yuko studio akifanya Interview na Moja ya Kituo cha Radio nchini Humo na Aliandika Hivi:

“dakika chache zilizo pita nlikuwa kwenye interview na moja ya kituo kikubwa cha Radio, mjini Lagos Nigeria... #Doagric @thebeat999fm

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top