MALORI YAGONGANA MLIMA KITONGA, ABIRIA WAKWAMA KWA ZAIDI YA SAA NNE...!!

clip_image001Lori la mafuta lililopo upande wa kulia na lori la mizigo lililopo upande wa kushoto yaligongana na kuziba barabara kwenye mlima Kitonga na kusababisa magari mengine kukwama kwa zaidi ya saa nneclip_image001[5]Baadhi ya abiria wa kutoka sehemu mabalimbali wakisubiri lori lililoziba barabara kuondolewa baada ya kupata ajali ya kugongana na lori jingine kwenye mlima Kitonga. clip_image001[7]Ajali hiyo imesababisha magari mengi kuweka kambi kwa muda wa zaidi ya saa nne.clip_image001[9]Lori likiwa limetumbukia kwenye korongo mlimani Kitongaclip_image001[11]

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post