HIZI NDIZO PICHA ZILIZOTESA INSTAGRAM ZA MASTAA MBALIMBALI WIKI ILIYOPITA

clip_image002Huyu ni Victoria Kiman Msanii kutoka Kenyaclip_image002[6]Shishi Baby au unaweza kumuita Shiloleclip_image002[8]Sheria Ngowiclip_image002[10]Shaa msanii wa bongo fleva Nchini Tanzania anayetesa hivi sasa na Kibao cha “SUGUA GAGA”clip_image002[12]Quick Roka msanii wa Bongo fleva nchini Tananiaclip_image002[16]Msanii wa Filam Bongo Elizabeth Michael “LULU”clip_image002[21]Msanii wa Bongo fleva anajulikana kwa jina La “JUX”clip_image002[23]Msanii wa Hip Hop nchini kutoka Arusha anaitwa Joh Makini a.k.a Mwamba wa Kaskaziniwema kipara.7Wapendanao Wema Sepetu na Diamond Platnumzclip_image002[25]Aika kutoka kundi la Navye Kenzo

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post