HEMED PHD NDANI YA PENZI JIPYA NA NAJMA WA MR BLUE, CHEKI PICHA ZA MALAVIDAVI
byUnknown-
0
Usiku wa Kuamkia Tarehe 27 Feb 2014 tumekutana na hizi picha za Hemedy akimbusu msanii wa muziki na filamu Najma na maneno yalioambatana na picha hizo yakizungumzia ndoa na harusi.
Sammisago.com imethibitisha kuwa picha hizi zimetokana na scene za filamu wanayoigiza pamoja na kuwa Hemedy sasa ni Mwanaume wa mwanamke mmoja tu. HII NDIO PICHA YA HEMEDI NA MPENZI WAKE WA UKWELI
Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...