DUUUUH...!!!! ONA PICHA YA BINTI AMEJIACHIA NDANI YA OFISI...!!!!!

clip_image001Hivi unakuwa na nia gani unakubali kupigwa picha kama hii kwa mkao huu tena ndani ya Ofisi. na Kuamua kuiweka Mtandaoni huku si kujidhalilisha na kuwafanya wale waliokupa mamlaka ya wadhifa ulionao ndani ya ofisi hiyo kuwafanya walikosea kwakuwa akilizako si timamu na hukupaswa kuwepo hapo

Jamani wanaweke/wakina dada kuweni na mawazo pindi mfanyapo vitu vyenu. Kiukweli kwa sasa Tumewachoka na hii hali.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post