Mapaparazi wa mamtoni shida hahahahah, huezi amini wamefanikiwa kupiga picha ya mwanadada bretney spear akiwa amekaa vibaya na hatimaye kumwaga radhi , unajua nini mwanadada huyu kazingua sana coz kitendo cha kutovaa nguo ya ndani maana yake nini??? hii inamaana alikua ready for anything to happen. jionee hapa picha hiyo na pia uto maoni yako kuhusiana na tukio hili la aibu