KAUYE ni Msanii anayechipukia katika Tasnia hii ya Muziki ameweza kutambulisha wimbo wake mpya unao kwenda kwa Jina la “KUMBE NI MUONGO” ukiwa ni wimbo wake wa pili kurekodi, wimbo huo ukiwa na stori ya kweli iliyomtokea rafiki yake. Anahitaji mapokezi mazuri kupitia ngoma yake hii Mpya, Unaweza Kuidownload Hapa
Tags
MUSIC NEWS