Wanachuo wa Chuo cha Utumishi Mtwara Ndani ya Makonde Beach Club Katika Usiku wa Bash la Kuwakarabisha wanachuo wa Mwaka wa Kwanza wakijiachia na Kamera ya Fahari ya Kusini Blog
Wadau wa Safari Radio Fm Mtwara wakiwa ndani ya Kiunga hicho wakifanya yao katika Usiku wa Bash la Wanachuo wa Chuo cha Utumishi Mjini Mtwara lililofanyika Usiku wa Kuamkia Leo Pale Makonde Beach ClubMuite G Mbongo The Entertainment akiwa na Kimwana Ndani ya Makonde Beach Club katika Bash la Kuwakaribisha wanachuo wa Mwaka wa Kwanza wa chuo cha Utumishi MtwaraMc wa Sherehe hiyo akifanya yake katika kusherehesha Bush Hilo lililofanyika hapo Jana Makonde Beach ClubThe president wa Utumishi (kulia) akiwa na Vice President katika Ufunguzi wa shughuli nzima la Bash Hilo la kuwakarabisha Wachuo wa Mwaka wa Kwanza lililofanyika hapo jana Makonde Beach Club.Waziri wa Michezo akifanya yake usiku huo pale Makonde Beach Club kiukweli palikuwa Hapatoshi….Wasanii wengi wa kutoka Chuoni hapo walipanda jukwaani na Baadae kuangushwa Bonge la Disko la Kufa Mtu hadi Majogooo. Hizi ni Baadhi ya Picha zilizoweza kunaswa na Mwandishi wetu aliehudhuria katika Kiunga hicho hapo Jana
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.