Mwenyekiti wa Muda wa Bumge maalum La Katiba Mh Pandu Kificho Ameahirisha Semina ya kujadili Kanunu za Bunge Maalum la Katika Kutokana na Vuruguru Kutokana na Hali ya Kutokuelewana Kati ya Mbunge wa Jimbo la Simanjiro Mh Ole Sendeka Kutoleana maneno na Mbunge Mwenzake wakati Mbunge Huyo alipohoji kuhusu Kanuni hizo.
Tags
HABARI ZA KITAIFA