Ndege nyingine ya Air Tanzania aina ya CRJ-200 ER yenye uwezo wa kubeba abiria 50 imeingia usiku wa kuamkia leo jijini Dar es salaam. Kwa mujibu wa taarifa toka shirika hilo ndege hiyo itaanza kuruka kesho.
Tags
HABARI ZA KITAIFA