Wapenzi wa series ya 24 hii ni zawadi yenu. Jack is back. Kituo cha runinga cha Fox kimewaonjesha kionjo cha 24: Live Another Day kilichorushwa jana kwenye Super Bowl. Series hiyo itakayokuwa na episose 12 itaanza kuoneshwa May 5,na kumleta tena Jack Bauer, nafasi inayochezwa na Kiefer Sutherland.Episode hizo 12 mpya zitaonesha saa 24 za maisha ya Jack anayepambana na ugaidi.
About Author
JE, UNA HABARI, PICHA, TANGAZO, MAKALA NA USHAURI? USISITE KUWASILIANA NASI SIMU / WHATSAPP NAMBA 0625535420.
Advertisement
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.