VIDEO:: HATIMAYE HUDDAH NA MUSTAPHA WAZUNGUMZA KUHUSU MAHUSIONA YA MAPENZI YALIYOPO KATI YAO..!!

clip_image001Aliyekuwa mwakilishi wa Kenya katika jumba la Big Brother msimu uliopita, Huddah Monroe ambaye pia alikuwa mpenzi wa rapper Prezzo, ametangaza kuwa kwenye penzi jipya na mwanamuziki mwingine kutoka Kenya Colonel Mustafa. 

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post