SALMA TAMIM A.K.A SABBY ANGEL APATA SHAVU, KUCHEZA FILAM MOJA NA RAMSEY NOAH

MSANII.6Muigizaji wa filamu mrembo wa Tanzania, Salma Tamim aka Sabby Angel ambaye amepata shavu la kuwa chini ya kampuni ya Coastal Films, ya nchini Kenya, anatarajiwa kuigiza filamu moja na staa wa Nigeria, Ramsey Noah.MSANII.7Sabby ameshaonekana kwenye filamu kadhaa za Tanzania ikiwemo ya Hard Price aliyoigiza na Ray na Nimekubali aliyoigiza na Dr. Cheni, Moto wa Radi na zingine. Pamoja na kuigiza, Sabby pia ni mwanamuziki.COVERMfahamu zaidi kwa picha hizi.MSANII.2

MSANII.3

MSANII.4

MSANII.8

MSANII.9

MSANII.10

MSANII

MSANII.5

Original source: Bongo5

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post