Spika wa Bunge la Zanzibar, na Mbunge wa Bunge maalum la Katiba, Pandu Amir Kificho amechaguliowakushika nafasi ya Uwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba jioni hii.Mshindi wa Kura za kumtafuta Mwenyekiti wa Muda wa Bunge la Maalum la Katiba Tanzania Mhe. Pandu Ameir Kificho, akiongoza Mkutano wa Maandalizi ya kuandaa Kanuni za Bunge hilo. Baada ya kutangazwa mshindi wa nafasi hiyo kwa ushindi wa kishindo wa kura 393.sawa asilimia 69.19. Mhe Pandu Ameir Kificho, akitowa shukrani kwa wajumbe wa Bunge Maalum kwa kumchagua kuwa Mwenyekiti wa Muda wa Bunge hilo
Katibu wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Thomas, akitangaza matokeo ya Uchaguzi wa kumpata Mwenyekiti wa Muda wa Bunge Maalum la Katiba Tanzania,
Katika zoezi hilo la uchaguzi lililofanyika katika ukumbi huo limemchagua Mhe. Pandu Ameir Kificho kwa kura 393, dhidi ya wapizani wake walioibuka na kura 84 kila mmoja
Profesa Costa Mahalu amepata kura 84 na Mhe Magdelina amepata pia kura 84, katika uchaguzi huo uliowashirikisha Wajumbe wa Bunge hilo leo jioni.
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.