OSTADH JUMA, AFUNGUKA KUHUSU PICHA INAOONYESHA KUWA NI UDHALILISHAJI KWA PNC, SOMA/ SIKILIZA AUDIO HAPA...!!

clip_image001Tangu jana usiku picha Ionekanayo hapo juu ilikua inasambaa mtandaoni ikimwonyesha Msanii PNC akiwa amempigia magoti boss wake wa zamani Ostaz Juma na musoma, akiwa anamwuomba msamaha, huku Ostaz anaonekana akiwa amekalia kochi huku amekunja nne,

Picha imekua gumzo, wengi wakidai kuwa kitendo cha picha hizo kupigwa na kusambazwa hasa Ostaz mwenye kuipost picha hiyo kwenye mtandao wa Instagram ni kumdhalilisha msanii huyo.

Tumepiga story na ostadh huyu hapa anafunguka kuhusu picha hii...

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post