NEW HAIR CUT STYLE KUTOKA KWA MARIO BALOTELI HEBU JIONE MWENYEWE

clip_image002Inaitwaje hii: Mario Balotelli ameweka kwenye akaunti yake ya Twitter jana usiku picha hii ya mtindo wake mpya unyoajiclip_image002[6]

MSHAMBULIAJI wa AC Milan, Mario Balotelli amepamba vichwa vya habari tena baada ya kuibuka na mtindo mpya wa unyoaji kichwani.

Mshambuliaji huyo wa Italia jana usiku aliposti picha za mnyoo wake mpya katika akaunti yake ya Twitter.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 23 ameonekana wa kipekee kwa mnyoo huo hatari. "Nimemaliza kunyoa, sasa naenda zangu kulala," hayo ndiyo maneno yaliyoambatana na picha hizo.

BALOTELIBalotelli amewahi kuweka mitindo hii ya nywele hapo kablaBALOTELI.1Mitindo mingine ya nywele ya Balotelli hapo awali

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post