Hii ni moja ya Picha alizoweza kuziachia akiwa kwenye pozi tata
hizi ni baadhi ya Comment zilizotolewa kutoka kwenye pic hiyo duh.. hatari
3.18PM UPDATES…!!!::: DIVA AMCHANA CHAGGA BARBIE NA KUMUAMBIA AMUACHEInaonesha bado kuna Beef ya Chini kwa chini kati ya Chagga Barbie na Divathebawse hii ikiwa wote kuwahi kuwana mahusiano ya Kimapenzi na Muimbaji wa Kenya Prezzo sasa Bado wanarushiana Vijembe vya hapa na Pale hii ni Moja ya Picha Aliyoipost mwana dada Diva Mapema Leo na Kusema Kuwa yeye yuko Huru kuwa na Mtu yeyote sasa iweje atolewe matusi….
Tags
WATU MAARUFU