NANI MKALI: HAMISA MABETO AU JACK CLIFF MODELS KUTOKA TANZANIA

nani mkaliHapo nyuma tulisha wahi kuwaleta Waimbaji wawili wanao sifika kwa kupiga pamba kali Hapa Tz Kati ya Diamond Platnumz na Jux na kuwafanya nyie kuwa majaji kwa kuamua nani alikuwa ametokelezea zaidi ya Mwenzake na Jux Kuibuka Kidedea,juxdiamond

Leo hii tumevamia Tasnia ya Urembo na tupo kwa Ma Models hawa wawili maarufu nchini Kati ya Hamisa Mabeto Na mwenzie Jack Cliff….

Mpango uko pale pale wewe ndio jaji wa Kuamua nani katokelezea zaidi ya Mwenzake kwa Kushusha Coment yako pale chini kwa kuandika unahisi nani amemzidi mwenzake.

Leo tunaanza na Hamisa Mabeto Picha zake alizopiga na Kushare katika Akaunti yake ya Instagram.clip_image001

clip_image001[6]

clip_image001[8]

clip_image001[10]

clip_image001[12]

Sasa ni Jack Cliff nae ajinafasi hapa:clip_image001[14]

clip_image001[16]

clip_image001[18]

clip_image001[20]

clip_image001[22]

Mshindi atatangaza Siku ya Jumapili jioni na Mwisho wa Kupiga kura yako ni Jumapili saa sita mchana. Kumbuka wewe ndio Jaji uamuzi ni wako sasa.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post