MCHEKI ISABELA ALIVYO TOKELEZEA, MODEL KUTOKA KUSINI

ISABELA MPANDA.4Anaitwa Isabela Mpanda Mmoja kati wa waigizaji wazuri katika tasnia ya filam Hapa bongo Pia ni model na mwanamuziki pia. Mwenyeji kutoka Mkoa wa Mtwara. ameweza kuiwakilisha vizuri mikoa ya Kusini Lindi na Mtwara katika Kazi zake na tunaweza kusema tunajivunia uwepo wake katika tasnia hiyo kwani anatangaza Mikoa hiyo na kuwapa moyo wale wengine ambao hawajatoka kuweza kufanya juhudu katika Fani zao walizonazo ili kufikia Ndoto zao kama yeye.

Hizi ni Baadhi ya Picha za Msanii huyozicheki hapaISABELA MPANDA.2

ISABELA MPANDA.3

ISABELA MPANDA

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post